EastAfricaTV
EastAfricaTV
  • 33 544
  • 127 309 005
WENYE UALBINO WAWEKEWA ULINZI MAALUM/ WALALAMIKA WATANZANIA KUTONUNUA VITU VYA UTAMADUNI
Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB4pA0ivPPRm6
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
Переглядів: 4

Відео

MKALIWENU ASHANGAZWA KUKOSA MTOTO HADI LEO,”NIMEWAHI KUMILIKI MAGARI YA KIFAHARI NIMEUZA”
Переглядів 15Годину тому
Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB4pA0ivPPRm6 Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
MBUNGE MUSUKUMA: Waziri Bashe FUKUZA HAWA/ Wanatusumbua/ Wote ni WAFANYABIASHARA
Переглядів 3333 години тому
Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB4pA0ivPPRm6 Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
BUNGO TOBOA TOBO: AFUNGUKA UMRI WAKE RASMI, “SINAGA KUFICHA/ NAPITA NAO”
Переглядів 1206 годин тому
Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB4pA0ivPPRm6 Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
MWENYEKITI WA WAFANYABIASHARA: POLISI MLITUMIA NGUVU/ NMEITWA POLISI MARA 4/ WALISEMA TUSHUGHULIKIWE
Переглядів 2,3 тис.11 годин тому
Wananchi wa maeno ya kijichi katika jimbo la mbagala jijini Dar es salaam wameeleza kusikitishwa na wafanyabiashara kutelekeza soko la kijichi ambalo serikali imetumia pesa nyingi kujenga kwa manufaa yao. Wakizungumza na kurasa baadhi ya wananchi hao wameiomba halmashauri ya manispaa ya Temeke kuwahamisha wafanyabiashara wote waliopo kwenye masoko ambayo sio rasmi ili waje kufanyabiashara katik...
SALMIN AWEKA WAZI KUFUNGA NDOA YAKE/ TUKO ROMANTIC NA SIAI/ SIO WAGUMU SANA
Переглядів 10022 години тому
Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB4pA0ivPPRm6 Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
WAZUNGUMZIA MAZINGIRA MAGUMU YA BIASHARA KITETO
Переглядів 4723 години тому
Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB4pA0ivPPRm6 Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
NI NINI KIPO NYUMA YA SHISHA KWA VIJANA AFRIKA
Переглядів 852 години тому
NI NINI KIPO NYUMA YA SHISHA KWA VIJANA AFRIKA
SHIJA TAJIRI VUNJABEI ATINGA MWANANYAMALA HOSPITALI
Переглядів 2392 години тому
SHIJA TAJIRI VUNJABEI ATINGA MWANANYAMALA HOSPITALI
FLORAH MVUNGI AZAMA PENZINI, NINGEMPATA MAPEMA NINGEMZALIA HATA WAYOTO 10
Переглядів 3482 години тому
FLORAH MVUNGI AZAMA PENZINI, NINGEMPATA MAPEMA NINGEMZALIA HATA WAYOTO 10
WAZIRI MWIGULU Aweka WAZI Chanzo cha WAFANYABIASHARA Kugoma/ HATUWEZI Kushusha VAT Kama Wanavyotaka
Переглядів 44 тис.2 години тому
WAZIRI MWIGULU Aweka WAZI Chanzo cha WAFANYABIASHARA Kugoma/ HATUWEZI Kushusha VAT Kama Wanavyotaka
WAZIRI MWIGULU ACHARUKA KUHUSU DENI LA SERIKALI/ MSIPOTOSHE WATU/ HAKUNA ATAKAYEDAIWA NYUMBANI KWAKE
Переглядів 7642 години тому
WAZIRI MWIGULU ACHARUKA KUHUSU DENI LA SERIKALI/ MSIPOTOSHE WATU/ HAKUNA ATAKAYEDAIWA NYUMBANI KWAKE
MGOMA NZITO: SAKATA LA DUBE NA AZAM/ MAMBO YAWEKWA WAZI MKATABA WAKE/ MENEJA AFUNGUKA…
Переглядів 7682 години тому
MGOMA NZITO: SAKATA LA DUBE NA AZAM/ MAMBO YAWEKWA WAZI MKATABA WAKE/ MENEJA AFUNGUKA…
#VIDEO: HALI ILIVYO KENYA MUDA HUU/ WANAJESHI WAINGIA MTAANI KUWASAKA WAANDAMANAJI
Переглядів 1,1 тис.2 години тому
#VIDEO: HALI ILIVYO KENYA MUDA HUU/ WANAJESHI WAINGIA MTAANI KUWASAKA WAANDAMANAJI
SPIKA TULIA BILA KUPEPESA AWAPA MAKAVU MAWAZIRI/ MNAINGIA BUNGENI MUDA MNAOTAKA…
Переглядів 9 тис.2 години тому
SPIKA TULIA BILA KUPEPESA AWAPA MAKAVU MAWAZIRI/ MNAINGIA BUNGENI MUDA MNAOTAKA…
WAKATI MGOMO WA WAFANYABIASHARA UKIENDELEA WAVUVI WAIBUKA NA KUOMBA 2% KUONDOLEWA KWENYE KODI
Переглядів 3074 години тому
WAKATI MGOMO WA WAFANYABIASHARA UKIENDELEA WAVUVI WAIBUKA NA KUOMBA 2% KUONDOLEWA KWENYE KODI
#VIDEO: SHUHUDIA NAMNA WAANDAMANAJI WALIVYOZAMA BUNGENI KENYA NA KULA CHAKULA CHA WABUNGE…
Переглядів 1,8 тис.4 години тому
#VIDEO: SHUHUDIA NAMNA WAANDAMANAJI WALIVYOZAMA BUNGENI KENYA NA KULA CHAKULA CHA WABUNGE…
BLACK PASS: WATU WENGI WANAJUA NINA MATATIZO YA KUSIKIA, MIMI NI MGUMU SIWEZI KUWA ROMANTIC
Переглядів 2,3 тис.4 години тому
BLACK PASS: WATU WENGI WANAJUA NINA MATATIZO YA KUSIKIA, MIMI NI MGUMU SIWEZI KUWA ROMANTIC
VITA WAKULIMA NA WAFUGAJI BADO MBICHI/ NGUVU ZA KIUME ZAWATESA VIJANA
Переглядів 1154 години тому
VITA WAKULIMA NA WAFUGAJI BADO MBICHI/ NGUVU ZA KIUME ZAWATESA VIJANA
UTASHTUKA: NJAA NDIYO ILIFANYA NIFANYE HIVI/ NILITAKA KUWA KARIBU NA WASANII…
Переглядів 1044 години тому
UTASHTUKA: NJAA NDIYO ILIFANYA NIFANYE HIVI/ NILITAKA KUWA KARIBU NA WASANII…
UTASHANGAA MANENO YAKE: WACHEZAJI WETU WENGI WANASAJILIWA NA WAGANGA/ CHAMA ANATURINGIA SIMBA
Переглядів 7064 години тому
UTASHANGAA MANENO YAKE: WACHEZAJI WETU WENGI WANASAJILIWA NA WAGANGA/ CHAMA ANATURINGIA SIMBA
MBUNGE MUSUKUMA BILA UOGA HUYU MPINA ANA MATATIZO YA AKILI/ TUMSAIDIE ATAKUWA NA MAWAZO HUYU...
Переглядів 1,3 тис.4 години тому
MBUNGE MUSUKUMA BILA UOGA HUYU MPINA ANA MATATIZO YA AKILI/ TUMSAIDIE ATAKUWA NA MAWAZO HUYU...
BREAKING: MBUNGE MPINA ASIMAMISHWA na BUNGE KUSHIRIKI BUNGE, Kamati YASOMA Maamuzi Mbele ya Bunge…
Переглядів 3174 години тому
BREAKING: MBUNGE MPINA ASIMAMISHWA na BUNGE KUSHIRIKI BUNGE, Kamati YASOMA Maamuzi Mbele ya Bunge…
UTACHEKA! TAUSI MDEGELA : NIKIENDA CONGO NALIWA MBOGA
Переглядів 2,5 тис.7 годин тому
UTACHEKA! TAUSI MDEGELA : NIKIENDA CONGO NALIWA MBOGA
KARIAKOO WAKANUSHA KUFUNGA MADUKA KESHO/ AKINA MAMA MSIOGOPE KUBEBA UJAUZITO
Переглядів 2009 годин тому
KARIAKOO WAKANUSHA KUFUNGA MADUKA KESHO/ AKINA MAMA MSIOGOPE KUBEBA UJAUZITO
MSIMAMO WA S2KIZZY KUWA PRODUCER BORA WA MUDA WOTE TANZANIA, HAIWAHUSU MAJANI NA MASTER JAY
Переглядів 1,8 тис.9 годин тому
MSIMAMO WA S2KIZZY KUWA PRODUCER BORA WA MUDA WOTE TANZANIA, HAIWAHUSU MAJANI NA MASTER JAY
PRODUCER BOB MANECKY : DIAMOND PLATNUMZ MJUAJI SANA SIPENDI KUFANYA NAYE KAZI
Переглядів 7 тис.9 годин тому
PRODUCER BOB MANECKY : DIAMOND PLATNUMZ MJUAJI SANA SIPENDI KUFANYA NAYE KAZI
MBUNGE TABASAMU ASHANGAZWA NA DUKA LA MILION 7 kupigwa FAINI ya MILIONI 15…
Переглядів 1,3 тис.12 годин тому
MBUNGE TABASAMU ASHANGAZWA NA DUKA LA MILION 7 kupigwa FAINI ya MILIONI 15…
PATCHO MWAMBA: WATOTO SABA WA KIKE, “MIMI NA NYOSHI NI SIMBA NA YANGA.” AKANUSHA KUWA NA UTOFAUTI...
Переглядів 39512 годин тому
PATCHO MWAMBA: WATOTO SABA WA KIKE, “MIMI NA NYOSHI NI SIMBA NA YANGA.” AKANUSHA KUWA NA UTOFAUTI...
T BWAY ALIVYODATA NA SAUTI YA HUYU DADA/ AMKOSHA VIBAYA…..
Переглядів 28212 годин тому
T BWAY ALIVYODATA NA SAUTI YA HUYU DADA/ AMKOSHA VIBAYA…..

КОМЕНТАРІ

  • @JofreySanga-lu8pn
    @JofreySanga-lu8pn 37 секунд тому

    Katika watu ambao sio wasikivi wewe sio msikivu

  • @mrmixedtopics1240
    @mrmixedtopics1240 8 хвилин тому

    Usitupange

  • @mrmixedtopics1240
    @mrmixedtopics1240 12 хвилин тому

    Unafaa sana kuwa waziri wa michezo na umeonyesha Nia kwa kumiliki timu ya mpira

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 14 хвилин тому

    Madunduka mnatamani kuwa wakubwa Africa,kwa kuwaza tu,lakini si kwa vitendo --- vitendo vyenu vinawaoromosha korongoni " mkiendelea hivyo,sahauni kuwa wakubwa Africa "

  • @mashakaamosgabinza3893
    @mashakaamosgabinza3893 17 хвилин тому

    VAT ipunguzwe ni sahihi 18 kwa 12 ni sahihi kwa sababu pesa mnawaachia watu wanaweka mfukukoni hakuna mnacho wafanya

  • @mashakaamosgabinza3893
    @mashakaamosgabinza3893 19 хвилин тому

    Biashara ni ngumu sana mkae mkijua hilo

  • @mashakaamosgabinza3893
    @mashakaamosgabinza3893 20 хвилин тому

    Watanzania tungekuwa kama wakenya tungefika mbali wananchi mnatuumiza kwa ititili wa kodi wambunge mkatwe pesa mnakula pesa za bure tu huko

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 51 хвилина тому

    Yani sijui raisi anampendea Nini huyu jinamizi roho mbaya

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe Годину тому

    Nyieeeh mnaendaaa kukopa mikopoo ovyoo nnjee safar za nnjee za ovyooo ambazo zinaathiri uchum wa tanzania mnakuja kuwakandamiza wafanyabiashara walipie safar zenuu za kisengeee

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe Годину тому

    Wee unakulaaa unalala pazur ndomaanaaa hapoo unaharishaaa bila hataaa kufikiriaa maanaaa ww Ushashibaaa

  • @sindephilimon9094
    @sindephilimon9094 Годину тому

    bunayaa,,mbeya boy chuma na were mulaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Piscesblair
    @Piscesblair Годину тому

    Suala la msingi ni tunafanyaje ili kufanya biashara zetu zinakuwa endelevu bila kupoteza mitaji. We need to strike a balance to create a win win situation between the Government and the Taxpayers.

  • @nevlintesha4462
    @nevlintesha4462 2 години тому

    Sinichangie hata laki mbili nikamnyonge huyu jamaa

  • @AgnessAlly-tx2yx
    @AgnessAlly-tx2yx 2 години тому

    Kaka angu kumbe ww mruguru Mungu akutuze

  • @user-jv7xv1bl7d
    @user-jv7xv1bl7d 2 години тому

    We ni mwizi kaka ila ww endelea kuiba pesa za watanzania utatapika ugoro

  • @allymyete5327
    @allymyete5327 2 години тому

    Taifa Lina Mzigo mzito Sana!! Ila basi tu!!

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 3 години тому

    Hakuna point hata moja nimepoteza mb zangu

  • @handenitakuru6696
    @handenitakuru6696 3 години тому

    Kada wa Ccm huyo hawezi wasaliti mambumbu wenzake

  • @nasrikhoja9664
    @nasrikhoja9664 3 години тому

    Tutaaaa Tunaaa Tutaaa Tunaaa

  • @RachelJames-zo2ng
    @RachelJames-zo2ng 3 години тому

    ivi hawa watangazaji wamekuaje jmn😂😂😂 km huyu kaanza na saut ya kiume mbelee kanyoosha maelezo😂😂😂

  • @innocentchristopher7571
    @innocentchristopher7571 4 години тому

    Namalizia coz hii pia Bugando tunaipenda san hawa watu hawasumbui kabsaa tofaut na. Alie hai i like my job

  • @innocentchristopher7571
    @innocentchristopher7571 4 години тому

    Dada mzur San

  • @RamadhaniSaid-t2b
    @RamadhaniSaid-t2b 4 години тому

    Viongzi wote wangekua kama huyu hakuna mtu ambae masikin

  • @user-ko5co3bk9f
    @user-ko5co3bk9f 4 години тому

    Mm hata sielewi anazungumzia nini🔥🔥🔥

  • @hamisishabani4072
    @hamisishabani4072 4 години тому

    HUYU WAZIRI KILIO CHA WAFANYA BIASHARA ANAKIJUA TOKA ENZI ZA JAKAYA KWENYE ILE MIGOMO YA WAFANYA BIASHARA NCHI NZIMA.HII ASILIMIA 18 YA VAT NI MWIBA KWA MFANYABIASHARA NA NI MWIBA KWA MNUNUZI WA MWISHO AMBAE AMELENGWA KUILIPA VAT HII.KWA MFANYABIASHARA KWA VAT HII ANALAZIMIKA KUUZA BIDHAA KWA BEI KUBWA,AMBAYO INA MSABABISHIA UGUMU WA KUFANYA BIASHARA KWA HARAKA NA NDIO INAYOSABABISHA UTOAJI WA RISITI KUWA.MGUMU!!INA BIDI AUZE BIDHAA BEI YA CHINI ILI APATE FAIDA KIDOGO LAKINI KWA HARAKA.NA INAKUWA NI MAKUBALIANO NA MTU WA MWISHO. VINGINEVYO HUYU MTU WA MWISHO ATASHINDWA KUINUNUA HIYO BIDHAA,KUTOKANA NA UGUMU WA MAISHA TULIYONAYO KWA KUWA ASILIMIA KUBWA YA WATANZANIA WENGI VIPATO VYETU NI VIDOGO SANA NA WENGINE HAWANA KABISA HATA HICHO CHANZO CHA MAPATO.KWANZA SEREKALI ILITAKIWA IFIKIRI HII VAT ASILIMIA 18 NI KUBWA SANA,HAPA NCHINI KWETU.TOFAUTI HATA NA NCHI ILIYOPO KWENYE G 20 YA AFRIKA YA KUSINI INAYOTOZA VAT ASILIMIA 14.NA HII VAT HAPA NCHINI KWETU HAIANGALIWI KWENYE FAIDA ANAYOINGIZA MFANYA BIASHARA BALI INAJUMLISHWA PAMOJA NA MTAJI WA MFANYABIASHARA,UGUMU NDIPO ULIPO HAPO!! MFANO,MFANYA BIASHARA ANANUNU BIDHAA SH ELFU 10 NA BIDHAA HIYO ANAIUZA SH ELFU 12 FAIDA YAKE YEYE NI SH,ELFU 2.TRA WAO WANAANGALIA MAUZO YA SH ELFU 12 AMBAYO MFANYA BIASHARA AKITOA VAT YA MAUZO HAYO,ANAJIKUTA MPAKA MTAJI WAKE WA ELFU 10 UNAKATA PINDI UTAKAPO TOA ASILIMIA 18 YA SH,ELFU 12!! HII NDIO INAYOLETA SHIDA NA UGUMU WA BIASHARA NDIO UKO HAPA.HAPO BADO HAJATOA GHARAMA ZAKE ZA UENDESHAJI WA BIASHARA.NA HII NDIO INAYOLETA MTAFARUKU BAINA YA SEREKALI NA WAFANYA BIASHARA.BIASHARA UGUMU WAKE NI KWENYE KUUZA,NA BIASHARA NI ZA USHINDANI.NA WALENGWA WAKUILIPA HIYO VAT,ASILIMIA KUBWA NI WALALA HOI.KODI ZINAPOKUWA KUBWA ZINA UGUMU WA KULIPIKA ,NA TUSIDANGANYANE HAPA LAZIMA UKWEPAJI WA KODI UTAKUWEPO,KWA SABABU KODI NI KUBWA NA HAZILIPIKI.NA KODI KUBWA NDIO ZINAZOSABABISHA UGUMU WA MAISHA HASA KWA WALALAHOI WA KIPATO CHA CHINI.DUBAI NCHI YENYE MAISHA AGHALI,IMEFANIKIWA KUWA KIVUTIO CHA BIASHARA DUNIANI NCHI AMBAYO ASILIMIA 90 - 95 BIDHAA ZAKE ZOTE ZINATOKA MATAIFA MBALIMBALI DUNIANI.LAKINI USHURU WAO WA FORODHA ULIKUWA NI ASILIMIA 5 TU.NA SIKU ZA HIVI KARIBUNI WAMEINGIA KWENYE MFUMO WA VAT WANACHUKUA ASILIMIA NDOGO SANA!! NA NCHI BADO INA MAENDELEO MAKUBWA NA HUWEZI KUSIKIA PESA YAO INASHUKA THAMANI KAMA ILIVYO SHILINGI YETU.NCHI AMBAYO INA KILA AINA YA MALI ZA ASILI.DUBAI HAWANA CHOCHOTE CHA ZIADA ISPOKUWA NI MIPANGO MIZURI YA BISHARA NA MAHITAJI YOTE MUHIMU NI RAHISI KWA WANANCHI WAO MPAKA HATA KWA WAGENI.NA BIDHAA ASILIMIA 90-95 ZOTE ZINATOKA NJE YA NCHI YAO.UNAFUU WA KODI UMEKUWA KIVUTIO KIKUBWA KWA MATAIFA MBALIMBALI DUNIANI.HAPA KWETU INASHINDIKANA NINI? SEREKALI TUNAIYOMBA IWEKE KODI NDOGO,KODI RAFIKI KWA KILA MWENYE KUSTAHILI KULIPA KODI AJIVUNIE KULIPA KODI KWA HIYARI,SIO KWA MANUNG'UNIKO NA MAUMIVU KAMA HAYA!! MNAJUE WATANZANIA HIVI SASA TUNAUMIA NA KERO NYINGI,KILA BAADA YA MWEZI UNATAKIWA ULIPE,USHURU WA TAKA SH,ELFU 6 NA ELFU 2 KILA CHUMBA BEI WALIYOJIPANGIA WAO!! UNALAZIMISHWA ULIPE ULIPE ULINZI SHIRIKISHI SH,ELFU TATU KILA MWEZI.BADO MAJI,UMEME,NAULI YA MTOTO NA PESA YA CHAKULA SHULENI KILA SIKU TENA NI LAZIMA MTOTO ASIPOENDA NA PESA ANAADHIBIWA KWA FIMBO.YANI MTOTO 1 TU BAJETI YAKE WA MWEZI NI SH48 ELFU HII NI SHULE YA KAWAIDA TU! DOH!! MAISHA NI MAGUMU.HAYA KWA MTU WA KIPATO CHA CHINI AMAO TULIO WENGI.LAKI 2- 3 MAKODI HAYA YASIOLIPIKA TUNAISHIJE?AMA KWA KWELI MWINYE SHIBE HAMKUMBUKI MWENYE NJAA!!!

  • @mawn6828
    @mawn6828 4 години тому

    Rais hebu tafuta mchumi mwingine Kwa nafas hii huyu upeo wake umefika mwisho,atakutia matatizoni huyu kakwama na nchi itakwama.

  • @SiscoKalongola-vu8nk
    @SiscoKalongola-vu8nk 5 годин тому

    Dube anatakiwa kulipa dollar 120 alizopewa, mkataba wake mpya kamati haukutambua b'se haukusajiliwa, anamalizia mkataba wake zamani this june over

  • @JescaMuyabi-ix8ly
    @JescaMuyabi-ix8ly 6 годин тому

    Hongera mpendwa kwa kujitoa mungu azidi kukupigania katika kazi yako

  • @abuujihad8411
    @abuujihad8411 6 годин тому

    Hatujafurahishwa

  • @ndugaijacob359
    @ndugaijacob359 6 годин тому

    Tunamwomba waziri afafanue ni nani Wana VIBURI Kwa Nini mawaziri wanatoa matusi SIRIKALI inakaa kimya? TUJIREKEBISHE

  • @KigilaZengo
    @KigilaZengo 6 годин тому

    Akili tope

  • @RuzyamaIsumail
    @RuzyamaIsumail 6 годин тому

    Hongeren

  • @MussaWaziri-dy8go
    @MussaWaziri-dy8go 6 годин тому

    Huyu jamaa astahir kuvaa tai yenye bendera ya tz Maana sio mzarendo inabid avae bendera ya urusi kwa wakurupukaji

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 7 годин тому

    Kwani magufuli hajawahi kukaa na wafanya biashara wewe mwongo

  • @sk-wj9or
    @sk-wj9or 7 годин тому

    Huyu jamaa wafanyabiashara kariakoo mtoeni au mtakuja juta siku moja Anatumia vitisho kwakua anongea na viongozi? Fine kwanini hao viongozi wasimpe maandishi au asirikodi hizo simu ili awe na ushahidi??? Bila shaka anandoto za kisiasa. Una ujanja wa kutisha watu. Tunaweza hata bila yeye. KENYA DID YOU CAN DO IT

  • @sk-wj9or
    @sk-wj9or 7 годин тому

    Vipi wachina kuchukua biashara za uchuuzi. Huongelei kabisa hao watu. Nahisi brother unatumika huna uhalisia kabisa

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 7 годин тому

    Kila siku nchi inakopa ma billions sasa yanini mkandamize na wananch kwa makodi kodi yasio na msingi?hizo pesa mnapeleka wap za mkopo au mnajenga matumbo yenu?????

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 8 годин тому

    Hivi wananch wa jimbo lake wana akir timamu kwel kumpa nafasi gaid kama huyu?sio mtetez wa wananch

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 8 годин тому

    Mna Dharau Sana Nyinyi Watu wa CCM. Yaani Hata Unavoongea Unaonesha Jinsi Gani Mnatudharau Sisi Wananchi Tuliowaweka Madarakani Utadhani Hii Nchi Yakwenu. Ngojeni TIME WILL TELL Mbeleni Muda Si Mrefu Mtawaelewa Wananchi Kuwa Wamechoka Dharau Zenu"

  • @MichaelKilinga
    @MichaelKilinga 8 годин тому

    NISAIDIENI KUMWAMBIA MWIGULU KWAMBA YANI SIMPENDAGI KABISA

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 8 годин тому

    TRA wasilaumiwe, eleweni wao wanafuata sheria, kwanza ni watu wanaotusaidia laiti wangefuata sheria 100% pasingekuwa na biashara, tungefilisika wote, hata waziri wa fedha je anamamlaka ya kupeleka muswada bungeni bila idhini ya chombo fulani? Tusilaumu tu hapa ni sheria zibadilishwe naamini TRA hawatakuwa na shida, mbona wakati wa awamu za 1,2,3,4 hakukuwa na shida, tusiwalaumu TRA ni sheria zilizopo, jiulize je Tra wanafanya kazi kwa matamko au sheria?😮 Hata kumtaja kamishina mkuu TRA si sahihi, kwa kosa lipi, je yeye anatumia sheria? Watz tuwe wakweli hapa ni sheria ibadilishwe lkn kwa matamko tu sidhani kama Tra wataweza fanyika kazi, je sheria inayoungwa a nani? Hapo ndo pia kupata ukweli, hata waziri umpende auusiimpende bado hatungisheria pekee yake labda kanuni tu, hakuna namna ambavyo mnaweza kujiuliza haya? 20:53

  • @kainimlowe9646
    @kainimlowe9646 8 годин тому

    Hii takataka ilipataje uwaziri

  • @mufaddalmoawalla8522
    @mufaddalmoawalla8522 9 годин тому

    Naomba mwenyekiti.wetu.ndugu mbwana na kamati ya wafanyabiashara wote.tz nzima mtengenze kikosi kazi kama hawa kawasaki,a sisi pia tuweze kuwatoa hawajama mbele ya maduka kutoa mimwamvuli ambayo inazzuia maduka zetu,nitashukuru pia ikfanya kazi hii kama jama how wanavyo fanya kwa wamachinga sasa hivi hakuna barabara za kupita

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 9 годин тому

    Taarifa inapoteza muda